Pages

14 Jun 2014

20 CRAZY and HILARIOUS Recommendations From Budget Ya MaSufferer

Budget 2014 ikisomwa,Budget Ya MaSufferer pia ilisomwa pia
Tafadhali tunaomba Serikali....

1. Parliament si club.. Hiyo speaker iunzwe
2. Abduba dida anyanganywe bibi mmoja maina kageni apatiwe.
3. wenye huvaa bui bui zitolewe tint tujue nini huendelea uko ndani
4. Sukuma wiki iongezwe isukume mwezi ama hata mwaka.
5. Mandazi ipikwe ya rectangle,ya kawaida triangle huwa wanaibia kona kubwa sana!
6. Mchoma mahindi apatilishwe jina kuwa MONOCOTYLEDONOUS CREAMATOR!
7. Watu wakikosa tumaini, wanunue tumatumbo
8. Watu walipishwe kwa matatu kulingana na weight zao.
see also: 18 Clear Signs You’re in a Girl’s Friend Zone! 
9. Madem waitikie kuingia Bahasha juu box imepanda Bei.
10. tulipie hata Faith ama Mercy shuleni kwa sababu tumelipia karo sana
11. tablets zichongwe sides ku avoid side effects
12. please call me ziwe na reply ya.."call me too" kama hauna credo ndio sender ajue.
13. SeriKALI ibadilishe jina angalau iitwe seriTAMU.
14. Fare ya kuenda S.Africa ipunguzwe juu nikuteremka mteremko kuenda huko.
15. Mapenzi ya dhati ipunguzwe ikuwe angalau ya twenty
17. Siku za Mwizi ziwekwe At least seventy badala ya forty juu ya vile economy imepanda.
18. Watulete mara mbili juu mara moja iko already..
see also: 35 Crazy and Hilarious Things You Should Never Say to a Man With a Small Penis 
19. Kilicho mvunguni kitolewe huku kiwekwe juu ya bed tumechoka kuinama
20. Viatu za bata ni expe maybe tuletewe za kuku..
©Business Unplugged

No comments:

Post a Comment